PAPA FRANCIS AWATAKA WAKRISTU DUNIANI KUMRUHUSU MUNGU KUINGIA KATIKA MAISHA YAO

PAPA FRANCIS AWATAKA WAKRISTU DUNIANI KUMRUHUSU MUNGU KUINGIA KATIKA MAISHA YAO

Like
243
0
Thursday, 25 December 2014
Global News

KIONGOZI WA KANISA Katoliki Duniani Papa FRANCIS, amewataka Wakristu duniani kumruhusu Mungu kuingia katika maisha yao kusaidia kupambana na giza na rushwa.

Papa FRANCIS ametoa wito huo wakati akiongoza Ibada ya Mkesha wa Krismas, iliohudhuriwa na Maelfu ya Waumini katika kanisa la mtakatifu Petero mjini Rome.

Hiyo ni Krismas ya pili kwa Papa FRANCIS , aliechaguliwa mwaka uliyopita na raia wa kwanza asiyetoka Bara la Ulaya katika kipindi cha Miaka 1,300 iliyopita.

Comments are closed.