PAPA FRANCIS AZUNGUMZIA FAMILIA

PAPA FRANCIS AZUNGUMZIA FAMILIA

Like
184
0
Tuesday, 20 January 2015
Global News

KIONGOZI wa kanisa katoliki duniani ameunga mkono haki ya wazazi kuchagua ukubwa wa familia zao.

Amesema waumini wazuri wa Kanisa katoliki hawapaswi kuzaa bila ya mpangilio.

Kiongozi wa Kanisa katoliki duniani amelalamikia mawazo ya nchi za magharibi kuhusu kudhibiti uzazi na haki za wapenzi wa jinsia moja kuwa yamezidi kushinikizwa katika familia za nchi zinazoendelea.

 

Comments are closed.