PAPA FRANCIS KURAHISIHA TALAKA KWA WANANDOA

PAPA FRANCIS KURAHISIHA TALAKA KWA WANANDOA

Like
255
0
Tuesday, 08 September 2015
Global News

 

KIONGOZI wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis anatarajia kurahisisha taratibu zinazoruhusu wafuasi wa kanisa hilo waliooana kutoa talaka na kuolewa tena huku wakibakia kuwa wafuasi katika kanisa hilo.

Papa aliunda tume ya wanasheria wa kanisa mwaka jana kupiga msasa mbinu ya kurekebisha taratibu hizo zinazoruhusu wanandoa kuachana na kupunguza gharama.

Bila sheria hiyo wanandoa wa kikatoliki wanaotalikiana na kuolewa upya hutazamwa kama wazinifu na hawaruhusiwi kushiriki kwenye huduma zinazotolewa na kanisa.

Comments are closed.