PAPA FRANCIS KUWASILI SRI LANKA KESHO

PAPA FRANCIS KUWASILI SRI LANKA KESHO

Like
282
0
Monday, 12 January 2015
Global News

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Papa FRANCIS anatarajiwa kuwasili nchini Sri Lanka kesho, wiki moja baada ya Rais aliyekuwapo madarakani kwa muda mrefu nchini humo kushindwa katika uchaguzi.

Jamii ndogo ya waumini wa madhehebu ya Katoliki nchini humo inatarajia kwamba Papa FRANCIS anaweza kusaidia kuponya majeraha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 25 nchini humo.

Comments are closed.