PARIS: MWILI WA MSHUKIWA WA 3 WA UGAIDI WAPATIKANA

PARIS: MWILI WA MSHUKIWA WA 3 WA UGAIDI WAPATIKANA

Like
249
0
Friday, 20 November 2015
Global News

MWILI wa mshukiwa wa 3 wa kosa la kigaidi umepatikana katika nyumba ya Saint-Denis iliovamiwa na maafisa wa polisi kuhusiana na shambulizi la Paris, kulingana na kiongozi wa mashitaka nchini humo.

Vilevile amethibitisha kuwa mwanamke mmoja ni miongoni mwa watu watatu waliouawa, huku pasipoti ilio na jina la Hasna Aitboulahcen ilipatikana kwenye begi lake katika eneo hilo.

Hata hivyo Mwili mmoja umetambulika kuwa wa kiongozi wa shambulio hilo Abaaoud Abdelhamid

Comments are closed.