PAUL SCHOLES AKIFUNGUKIA KIKOSI CHA MANCHESTER UNTD

PAUL SCHOLES AKIFUNGUKIA KIKOSI CHA MANCHESTER UNTD

Like
392
0
Friday, 13 February 2015
Slider

Kiungo wa zamami wa Manchester United Paul Scholes hali ya uchezaji wa klabu hiyo kwa sasa ni duni kutokana na kushindwa kushambulia kwakufuata misingi ya ushambulizi iliyokuwa ikitumika enzi zao.

Aliongeza kuwa ili umshinde mpinzani wako unatakiwa kushambulia na pia ili ushambulie unahitaji kuikabili hatari iliyopo mbele yako, Scholes alisema kwamba kwenye kikosi hicho cha sasa ni wachezaji wachache wenye uthubutu wakuikabili hali ya hatari ili waweze kuibuka na ushindi

Paul amedai kwa sasa hafuraishwi na mwenendo wa kikosi hicho chini ya kocha Van Gaal

Klabu hiyo kwa sasa inakamta nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya Uingereza mara baaada ya kuichapa Burnlay 3-1 katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford.

Kiungo huyo alianza kuichezea Man u mwaka 1994 na kufanikisha kutwaa ushindi wa ligi kuu ya Uingereza mara 11 akiwa ameichezea mara 676

Comments are closed.