PEP GUARDIOLA AFIKIA TAMATI BAYERN

PEP GUARDIOLA AFIKIA TAMATI BAYERN

Like
269
0
Monday, 21 December 2015
Slider

 

Pep Guardiola kuondoka Bayern Munich mwishoni mwa msimu na nafasi yake kuchukuliwa na Carlo Ancelotti .

 

Guardiola, 44, amekuwa akitajwa kujiunga na moja kati ya klabu za  Manchester City, Manchester United, Chelsea na Arsenal.

Mwalimu huyu wa zamani wa Barcelona amefanikiwa kutwaa mataji mawili ya ligi na kombe la Ujerumani toka ajiunge na Bayern katika msimu wa kiangazai mwaka 2013.

 

Bosi wa zamani wa klabu ya Chelsea Ancelotti, 56, amekuwa akipewa kipaumbele kujiunga na Bayern toka kibarua chake kiote nyasi katika klabu ya Real Madrid mnamo mwezi wa tano mwaka 2015 na tayari ameshasaini mktaba wa miaka 3 kuinoa Bayern

Comments are closed.