PEP GUARDIOLA AIKANA MAN CITY NA KUICHAGUA MAN U

PEP GUARDIOLA AIKANA MAN CITY NA KUICHAGUA MAN U

Like
269
0
Wednesday, 27 January 2016
Slider

Pep Guardiola aishangaza dunia, aikana Manchester City na kuwachagua mahasimu wao Manchester United, amtaka mlinda mlango wa Barcelona Claudio Bravo kujumuika nae.

Wakati huo huo viongozi ndani ya Manchester United wanahofia kumkosa Ryan Giggs iwapo Lois Van Gaal atatimuliwa bila yeye kupewa umeneja

Comments are closed.