PHILL NEVILLE AMTETEA YAYA TOURE NA KUMMWAGIA LAWAMA MANUEL PELLEGRINI

PHILL NEVILLE AMTETEA YAYA TOURE NA KUMMWAGIA LAWAMA MANUEL PELLEGRINI

Like
234
0
Tuesday, 14 April 2015
Slider

Kufuatia matokeo mabaya iliyoyapata klabu ya Manchester City kwenye mchezo wake na klabu ya Manchester United siku ya jumapili ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Manchester United kuichabanga Man City bao 4-2, ikiwa ni mchezo wa sita kwa klabu ya man City kuupoteza kati ya michezo nane.

Akizungumza na kituo cha Bbc mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya England na Manchester Utd, Phil Neville ametoa utetezi wake kwa Yaya Toure wa Manchester City kwa kusema kuwa mwanandinga huyo si kikwazo kwa klabu hiyo ya jiji la Manchester kutokana na matokeo mabaya walioyapata na badala yake amememuelezea kocha Manuel Pellegrini kama ndie anastahiri kubeba lawama kutokana na maamuzi yake yasiozaa matunda

Comments are closed.