PICHA: E-FM VS MAGOGONI VETERANI MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015

PICHA: E-FM VS MAGOGONI VETERANI MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015

Like
433
0
Saturday, 10 October 2015
Slider

Mchezo wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Magogoni Veterani umemalizika katika uwanja wa Ufukoni huku matokeo ya mchezo huo yakiwaweka vifua mbele maveterani wa Magogoni wakiwa na ushindi wa magoli 4 – 2.

Efm ndio walikuwa wa kwanza kuliona lango la Magogoni Veterani mpaka kipindi cha mapumziko Efm walikuwa mbele kwa magoli mawili kwa moja.

Hali ilibadilika katika kipindi cha pili ambapo maveterani wa Magogoni waliongeza mashambulizi katika lango la Efm na kuweza kupata magoli matatu ya haraka.

???????????????????????????????

 

E-FM

???????????????????????????????

 

MAGOGONI VETERANI

???????????????????????????????

PICHA YA PAMOJA E-FM NA MAGOGONI VETERANI

???????????????????????????????

???????????????????????????????

???????????????????????????????

PICHA CHINI NI UMATI WA MASHABIKI WALIOKUJA KUSHUHUDIA MTANANGE HUU WA HATARI

 

WP_20151010_16_54_28_Pro

WP_20151010_17_42_00_Pro-1

WP_20151010_17_42_21_Pro-1

WP_20151010_17_43_02_Pro

WP_20151010_17_43_22_Pro

Comments are closed.