PICHA ILIYOGUSA HISIA ZA MAMILIONI YA WATU ULIMWENGUNI

PICHA ILIYOGUSA HISIA ZA MAMILIONI YA WATU ULIMWENGUNI

Like
401
0
Wednesday, 15 June 2016
Global News

Mtoto aliyezaliwa mwezi mmoja baada ya baba yake kufariki amegusa hisia za mamilioni ya watu ulimwenguni katika mitandao ya kijamii kupitia picha inayomuonyesha mtoto huyo akitabasamu akiwa amekumbatiwa na gloves za marehemu baba yake na pembeni yake amewekewa kofia ambavyo vyote vilikuwa vikitumiwa na baba wa mtoto huyo kujikinga wakati anaendesha pikipiki katika enzi za chai wake.

daimage-a-9_1465956645527
Katika chapisho la Facebook lilitolewa na mpiga picha Kim Stone limeelezea jinsi ambavyo baba wa mtoto huyo alivokuwa na mapenzi makubwa ya kuendesha pikipiki yake katika kipindi cha uhai wake na kujitahidi kujikinga kwa muda wote ambas amekuwa akiendesha chombo hicho cha moto

Inaaminika kuwa watoto wakitabasamu ndotoni huzungumza na malaika.

Comments are closed.