PICHA: JUMBA LA KIFAHARI ALILONUNUA INI EDO

PICHA: JUMBA LA KIFAHARI ALILONUNUA INI EDO

Like
780
0
Tuesday, 28 October 2014
Entertanment

Muigizaji kutoka Nigeria INI EDO ambae hivi karibuni alimake headlines za vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya mahusiano yake na bilionea mfanya biashara Philip Ehiangwina kuvunjika na kurudisha mahali, Hatimae Ini Edo ameudhihirishia uma kuwa hajayumba kimaisha.

muigizaji huyo mwenye mvuto alianza rasmi kujihusisha na uigizaji mwaka 2000 na kuweza kuonekana kwenye zaidi ya filam 50.

Kwa mujibu wa jarida la E247Mag limesema muigizaji huyo ambae pia ni muhitimu wa chuo kikuu ch aCalabar huko Nigeria amenunu mjengo huo kwa shilingi 70 m za Nigeria huko Lagos ikiwa ni mkwanja mrefu unaosadikika umetokana na dili alilopata kutka kwenye kampuni moja uya mawasiliano.

picha za nyumba hiyo..

edo

edo2

 edo4 

edo3

 

 

Comments are closed.