PICHA: MAPOKEZI YA ELIZABETH MICHAEL (LULU) BAADA YA KUTWAA TUZO AMVC2016

PICHA: MAPOKEZI YA ELIZABETH MICHAEL (LULU) BAADA YA KUTWAA TUZO AMVC2016

Like
1409
0
Wednesday, 09 March 2016
Entertanment

Tanzania iliwakilishwa vyema na Single Mtambalike (Richie) pamoja na Elizabeth Michael (LULU) waliong’aa kwenye usiku wa kilele cha tuzo za Africa Magic Viewers Choice zilizoandaliwa na Multchoice| Dstv .

Lulu alitwaa tuzo ya Best Movie East Africa kupitia filam ya Mapenzi ya Mungu wakati Richie akibeba tuzo ya Best Local Language Movie/TV Series (Swahili) kupitia filam ya Kitendawali.

3X6A7306

Alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa Wa Jk Nyerere

3X6A7387

3X6A7367

3X6A7419

3X6A7431

3X6A7436

3X6A7446

Wema Sepetu aliposhuka kwenye gari kwenda kumvisha taji Lulu

3X6A7452

3X6A7472

3X6A7486

MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

3X6A7573

3X6A7596

 

Comments are closed.