PICHA: NJE NDANI YA JOTO LA ASUBUHI NDANI YA KARIAKOO

PICHA: NJE NDANI YA JOTO LA ASUBUHI NDANI YA KARIAKOO

Like
888
0
Friday, 17 June 2016
Local News

Kipindi cha Joto la Asubuhi cha EFM redio kinacho tangazwa na Gerald Hando, PJ na Adela Tilya kinachorushwa live kila mwisho wa wiki katika maeneo mbalimbali, leo siku ya Ijumaa ya tarehe 17/06/2016 kimewafikia wakazi wa Kariakoo huku kikiambatana na burudani kabambe kutoka kwa wasanii wa Singeli kama, Sholo Mwamba na Majid Migoma.

HUB_6111

HUB_6105

HUB_6099

HUB_6097

Mashabiki wa E-fm wakishuhudia Show ya Joto la Asubuhi Live Kariakoo Sokoni

HUB_6087

Hitachi Asili yeti Gerald Hando akipata kahawa wakati kipindi kinaendelea

HUB_6086

DU7C0498

DU7C0470

DU7C0431

DU7C0340

Asubuhi na mapema

IMG_6592

Majid Migoma akifanya fake

Comments are closed.