Picha: Shughuli za Mazishi ya Msiba wa Monica Maguful Ambaye ni Dada Yake Rais Magufuli

Picha: Shughuli za Mazishi ya Msiba wa Monica Maguful Ambaye ni Dada Yake Rais Magufuli

Like
1586
0
Tuesday, 21 August 2018
Global News

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu akisaini Kitabu cha Maombolezo ya Msimba wa Dada yake Rais Magufuli aliyefariki hivi karibuni Hospitali ya Bugando.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akisaini Kitabu cha Maombelezo ya Msiba wa Dada yake Rais Maguful leo Chato Mkoani Geita ambaye amezikwa leo.

Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga akiwa ni miongoni mwa wageni waliofika Chato Mkoani Geita kumfariji na kushiriki maziko ya Dada yake Rais Magufuli.

Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda, akisalimiana na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu, walipokutana leo kwenye Msiba wa Monica Magufuli ambaye ni dada wa Rais Magufuli.

Rais Magufuli na Makamu wake, Mama Samia Suluhu wakifatilia uwagaji wa mwili wa mareheu Monica Magufuli ambaye ni Dada wa Rais Maguful.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anton Mtaka (Kushoto) akisalimiana na Naibu Spika, Dkt. Tulia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *