PICHA: UJAUZITO SI KIKWAZO KWA TIWA SAVAGE AFANYA BONGE LA SHOW UGANDA

PICHA: UJAUZITO SI KIKWAZO KWA TIWA SAVAGE AFANYA BONGE LA SHOW UGANDA

Like
470
0
Monday, 09 March 2015
Entertanment

Tiwa Savage  richa ya kuwa sasa anaujauzito upatao miezi tena ila kwake haikuwa kikwazo kutua nchini Uganda na kuafanya bonge la show kwenye Airtel Inspiring Women Concert na kushiriki pia kwenye tuzo za mitandao ya kijamii nchini humo  ikiwa ni masaa machache baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa nchini humo siku ya jumamosi.

Mwimbaji huyo kutoka kwenye kundi la The Marvin hakuwepo katika show ya AMVCA iliyofanyika huko kwao Nigeria amapo mastar kadhaa wa Afrika walihusika jukwaaniakiwemo Diamond kutoka Tanzania.

Kikubwa kinyume na ilivyotarajiwa ni alivyoitawala show hiyo richa ya kuwa na ujauzito

sma-TIWA

t2-1024x1024

t4-620x300

Tiwa-Savage-Uganda-2-BellaNaija

Comments are closed.