PICHA: WASHINDI WENGINE WA KAPU LA SIKUKUU WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO

PICHA: WASHINDI WENGINE WA KAPU LA SIKUKUU WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Like
957
0
Wednesday, 24 December 2014
Local News

leo ni siku ya kukabidhi zawadi kwa washiriki waliobahatika kushinda kwenye kapu la sikukuu na hawa ni baadhi ya washindi hao

DU7C2682 DU7C2684 DU7C2686

picha juu ni watangazaji wa kipindi cha Gurudumu Swebe, Sophia, na Asha manga akiwakilishwa na wenzake pamoja na washindi wa kapu la sikukuu

DU7C2689 DU7C2691 DU7C2694 DU7C2697 DU7C2702

picha juu ni Samira Kiango mtangazaji wa 93.7 efm akikabidhi zawadi kwa washindi akiwemo binti mdogo kabisa kuliko washindi wote

DU7C2703 DU7C2704

baadhi ya washindi hao wakisubiri usafiri tayari kuondoka na zawadi zao

DU7C2706 DU7C2710

Comments are closed.