PICHA: YALIYOJIRI FAINALI YA MUZIKI MNENE (MATUKIO KATIKA PICHA)

PICHA: YALIYOJIRI FAINALI YA MUZIKI MNENE (MATUKIO KATIKA PICHA)

Like
830
0
Wednesday, 17 December 2014
Entertanment

watangazaji na maDJS wa 93.7 EFM wakifanya maandalizi ya tamasha la muziki mnene liliofanyika Dar alive mbagala

.1

 

watangazaji na maDJS wa 93.7 EFM wakifanya maandalizi ya tamasha la muziki mnene liliofanyika Dar alive mbagala.

 

DU7C2095

 

RDJS wa 93.7 EFM wakianza kutoa burudani katika tamasha la muziki mnene lililofanyika Dar alive mbagala.

DU7C2106

Baadhi ya mashabiki waliowahi kufika katika tamasha la muziki mnene la 93.7EFM lililofanyika Dar alive mbagala.

DU7C2110

Godwin Mawanja pamoja na Sada Nassoro wakianza amsha amsha ya tamasha la muziki mnene lililofanyika Dar alive mbagala.

DU7C2120

.Rdj SKIT,Spur na Black wakifurahia kazi yao katika tamasha la muziki mnene la 93.7EFM lililofanyika Dar alive mbagala.

DU7C2139

Mashabiki wa 93.7EFM wakiserebuka ndani ya tamasha la muziki mnene lilofanyika Dar alive mbagala.

DU7C2226

Mashabiki wa 93.7EFM wakiserebuka ndani ya tamasha la muziki mnene lilofanyika Dar alive mbagala.

DU7C2163

Rdjs, watangazaji pamoja na mashabiki wa 93.7EFM kwa pamoja wakifurahia muziki munene ndani ya Dar alive mbagala.

DU7C2176

Mashabiki wakiangalia show ya mwanamuziki wa mchiriku Machupa pamoja na wachezaji wake katika tamasha la muziki mnene lililofanyika Dar alive mbagala.

DU7C2226

Machupa mwanamuziki wa mchiriku akipagawisha mashabiki waliokuja katika tamasha la muziki mnene la 93.7FM ndani ya Dar alive mbagala.

DU7C2220

Machupa mwanamuziki wa mchiriku akipagawisha mashabiki waliokuja katika tamasha la muziki mnene la 93.7FM ndani ya Dar alive mbagala.

DU7C2249

12.Nyomi ya mashabiki wa 93.7EFM waliojitokeza katika tamasha la muziki mnene lililo fanyika Dar alive mbagala.

DU7C2260

Mashabiki wakiendelea kufurahia tamasha la muziki mene lililofanyika Dar alive mbagala

.DU7C2163

 

.Wafanyakazi wa 93.7EFM wakiwakilisha katika tamasha la muziki mnene ndani ya Dar alive mbagala.

DU7C2277

kufuatia maombi mengi yaliyotolewa na wadau wa 93.7 efm kuwakutanisha tena wasikilizaji na wapenzi wa redio Efm, itafanyika show Muziki Mnene afterparty itakayofanyika pale Navy beach Kigamboni siku ya mkesha wa mwaka mpya December 31 mwaka huu, endelea kusikiliza vipindi vya redio yetu kupata maelezo zaidi

Comments are closed.