POLISI DODOMA YASHIKILIA WAHAMIAJI HARAM 64 RAIA WA ETHIOPIA

POLISI DODOMA YASHIKILIA WAHAMIAJI HARAM 64 RAIA WA ETHIOPIA

Like
414
0
Monday, 16 March 2015
Local News

POLISI Mkoani Dodoma wanawashikilia Wahamiaji Haram 64 Raia wa Ethiopia, huku mmoja wao akiwa amefariki.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amenukuliwa akisema wanamshikilia Dereva wa gari lililokuwa limewabeba watu hao ambao inaaminika walikuwa njiani kuelekea Kusini mwa Afrika.

Hii si mara ya kwanza kwa wahamiaji wa aina hiyo kukamatwa katika mazingira hayo.

RPC Dodoma  DAVID MISIME - SACP

Comments are closed.