POLISI ULAYA WASHIKILIA WATU 17

POLISI ULAYA WASHIKILIA WATU 17

Like
197
0
Friday, 13 November 2015
Global News

POLISI katika nchi sita za Ulaya wamewakamata watu 17, kwa tuhuma za kupanga mashambulizi.

Watu hao wengi wao wakiwa ni Wakurd wa Iraq, wanachama wa kundi la Wapiganaji wa Kiislamu wanadaiwa kupanga mashambulizi nchini Norway na Mashariki ya Kati.

Hata hivyo Polisi wamesema kundi hilo lilikuwa likijiandaa kufanya mashambulizi ili kumuokoa kiongozi wake, mwenye msimamo mkali, Mullah Krekar anayeshikiliwa nchini Norway.

 

Comments are closed.