POLISI WA CHINA KUPIGA DORIA ITALIA

POLISI WA CHINA KUPIGA DORIA ITALIA

Like
286
0
Tuesday, 03 May 2016
Global News

MAAFISA wanne wa polisi nchini China wamesema kuwa watashirikiana na wenzao wa Itali kupiga doria mjini Rome na Milan katika jaribio la wiki mbili zijazo.

Waziri wa mambo ya nje wa Italia Angelino Alfano amesema Maafisa hao wanaozungumza Kiitaliano wanatumwa nchini Italia kwa lengo la kuwafanya watalii wa China kujisikia huru na salama wakati huu wa msimu wa juu wa utalii.

Takribani watalii milioni 3 kutoka nchini China hutembelea nchi ya Italia kila mwaka.

 

Comments are closed.