POLISI WAFUKUZWA KAZI KWA KOSA LA UBAKAJI INDIA

POLISI WAFUKUZWA KAZI KWA KOSA LA UBAKAJI INDIA

Like
276
0
Friday, 02 January 2015
Global News

WAZIRI MKUU wa Jimbo kubwa zaidi nchini India la Uttar Pradesh amewafuta kazi Polisi wawili wanaoshutumiwa kumteka nyara na kumbaka Msichana wa umri wa Miaka 14.

AKHILESH YADAV ameamrisha hatua za kinidhamu kuchukuliwa dhidi ya polisi hao .

Mahakama imesema kuwa polisi wamemlazimisha Msichana huyo kuingia ndani ya gari lao alipotoka nyumbani kwenda Msalani .

Comments are closed.