POROSHENKO AMNYOOSHEA KIDOLE PUTIN

POROSHENKO AMNYOOSHEA KIDOLE PUTIN

Like
268
0
Wednesday, 20 May 2015
Global News

RAIS wa Ukraine Petro Poroshenko amesema kuwa hamuamini kiongozi wa Urusi Vladimir Putin katika harakati za kuleta Amani Mashariki mwa Ukraine.

 

Akizungumza na Shirika la Utangazaji la BBC, Poroshenko anasema anahofia kwamba huenda kukawa na kutoku elewana kati ya mataifa hayo mawili.

 

Hata hivyo ameielezea hali hiyo kuwa ni vita kamili kati ya nchi hizo.

150509075919_vladimir_putin__512x288__nocredit

Vladimir Putin

 

 

Comments are closed.