PUTIN: VITA YA URUSI NA UKRAINE HAIWEZI KUTOKEA

PUTIN: VITA YA URUSI NA UKRAINE HAIWEZI KUTOKEA

Like
308
0
Tuesday, 24 February 2015
Global News

RAIS  Vladimir  Putin  wa  Urusi  amesema  haoni  uwezekano  wa  kuzuka vita  kati  Ukraine  na  nchi  yake.

Rais Putin ameongeza  kuwa  haoni  sababu ya  kukutana  na  maafisa  wa  Ufaransa, Ukraine  na  Ujerumani  kujadili  suluhisho, na  kuongeza  kwamba  hali itarejea  kama kawaida  taratibu.

Mawaziri  wa  mambo  ya  kigeni  wa  nchi hizo  wanakutana leo mjini  Paris  kujadili usitishaji  mapigano mashariki  mwa  Ukraine.

 

Comments are closed.