RADIO NA WEASEL JELA INAWAITA

RADIO NA WEASEL JELA INAWAITA

Like
287
0
Tuesday, 30 December 2014
Entertanment

 

Wakali kutoka Uganda Radio na Weasel huenda wakatiwa mbaroni mara baada ya kusabisha utata kwenye moja show waliyotakiwa kuifanya katika siku ya Boxing day huko Uganda lakini hawakutokea kwenye tamasha hilo hali iliyopelekea kuzuka kwa Ugomvi katika show hiyo amabapo baadae nguvu ya polisi ilihusika kutuliza mashabiki hao

Kwa mujibu wa muandaaji wa show hiyo Radio na Weasel walilipwa kiasi cha shilingi milioni 9 za Uganda kama malipo ya awali

Wasanii hao hawakuwepo nchini Uganda katika muda huo hivyo hawakutokea kwenye show hiyo hali iliyopelekea muandaaji wa show hiyo ameapa kuwakamata wasanii hao

 

 

Comments are closed.