RAIS AAGIZA MAPROMOTA WA SHOW YA ENRIQUE IGLESIAS KUSHUSHIWA KICHAPO

RAIS AAGIZA MAPROMOTA WA SHOW YA ENRIQUE IGLESIAS KUSHUSHIWA KICHAPO

Like
302
0
Tuesday, 29 December 2015
Entertanment

Rais wa Sri Lanka Maithripala Sirisena  ametoa ya moyoni kwa kutaka waandaji wa show ya Enrique Iglesias kushushiwa kichapo kizito.

Hatua hii ya Rais Sirisena imekuja baada ya warembo waliohudhuria tamasha la mkali huyu wa Muziki kushindwa kuzuia hisia zao na kuanza kumrushia nguo zao za ndani star huyo wakati anatuimbuiza jukwaani na wengine kushusha mabusu ya nguvu.

 

Rais huyu amesema kwamba hatetei kitendo kilichofanywa na baadhi ya wanawake hao ambao hawana busara kupewa adhabu bali amesisitiza hukumu iende kwa waandaji wa tamasha kwa kushindwa kuzuia hali hiyo.

 

Waandaji wa tamasha hilo wameomba radhi huku wakitupa lawama kwa walizni kushindwa kuwajibika kabisa

 

 

Comments are closed.