RAIS ATUHUMIWA KUMALIZA MPIRA KWA PENATI KABLA DAKIKA 90

RAIS ATUHUMIWA KUMALIZA MPIRA KWA PENATI KABLA DAKIKA 90

Like
257
0
Tuesday, 01 December 2015
Slider

Rais wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz aamuru mpira kumalizwa kwa penati kabla ya dakika 90 baada ya mchezo huo kukosa mvuto hali iliyopelekea kuchoka kuendelea kuutazama akiwa kama mgeni rasmi.

Mchezo huo wa fainalii uliozikutanisha klabu za FC Tevragh-Zeina na ACS Ksar ulimalizika kwa mikwaju ya penati baada ya kuchezwa kwa dakika 63 pekee.

Rais wa Shirikisho la soka nchini humo Ahmed Ould Abderrahmane amekanusha vikali na kusema kuwa maamuzi hayo yalifikiwa kwa kumhusisha marais  na waalimu wa timu zote mbili na sio Rais wa taifa hilo

Comments are closed.