RAIS DILMA WA BRAZIL MATATANI

RAIS DILMA WA BRAZIL MATATANI

Like
231
0
Thursday, 08 October 2015
Global News

MAHAKAMA nchini Brazil imebaini kuwa Rais wa nchi hiyo Dilma Rousseff amekiuka sheria za usimamizi wa akaunti ya bajeti ya mwaka jana.

Serikali ya nchi hiyo ilishitakiwa kwa tuhuma za kuazima fedha kinyume cha sheria benki kuu kwa lengo la kuziba upungufu wa bajeti serikalini.

Hata hivyo Kambi ya upinzani nchini Brazil imesema kuwa hatua hiyo ya mahakama inawasafishia njia ya kuanza kuchukua hatua za kisheria kumuondoa madarakani Rais Rousseff.

Comments are closed.