RAIS KABILA AMEAHIDI KUUNGANA NA JESHI LA UN DHIDI YA FDLR

RAIS KABILA AMEAHIDI KUUNGANA NA JESHI LA UN DHIDI YA FDLR

Like
251
0
Thursday, 08 January 2015
Global News

UMOJA WA MATAIFA umesema Rais JOSEPH KABILA ameahidi kuwa jeshi lake litaungana na la UN katika operesheni dhidi ya waasi wa FDLR.

Kikosi cha Wanajeshi Elfu 20 wa Umoja huo watashirikiana na wale wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo katika kampeni zilizopangwa kuanza karibuni dhidi ya waasi wa Kihutu wa Rwanda.

 

 

Comments are closed.