RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA AFRICA OPEN DATA

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA AFRICA OPEN DATA

Like
283
0
Friday, 04 September 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amefungua rasmi mkutano wa kwanza kufanyika Afrika wa Takwimu huria-Africa Open Data utakaosaidia kuzifanya taarifa mbalimbali muhimu  kupatikana kwa urahisi na kwa uwazi ili Wananchi waweze kuiwajibisha Serikali kutokana na utendaji wake.

Akifungua Mkutano huo Rais Kikwete amesema Serikali ya Tanzania tayari ilikwisha anza utaratibu wa kuweka taarifa zake mbalimbali kuwa wazi, hivyo kupitia mkutano huo ambao ni mwendelezo wa maafikiano ya nchi wanachama zilizo kwenye sera ya Open Government zitasaidia Wananchi waweze kuifuatilia Serikali yao kwa ukaribu.

PIX 3

JKN3

JK5

Rais Jakaya Kikwete akiwa ameshika ndege ambayo inapaa bila rubani (Drone) na yenye uwezo wa kuchukua matukio mbalimbali ikiwa angani, wakati alipotembelea Banda la Buni Hub ambalo lipo chini ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia,

Comments are closed.