RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO

Like
270
0
Monday, 22 December 2014
Local News

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya leo, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Zuma.

ZUMA3

Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam, yalichukua kiasi cha saa moja na dakika 45 na yalihusu uhusiano kati ya Tanzania na Afrika Kusini.

Rais Zuma ambaye aliwasili nchini usiku wa jana, Jumapili, Desemba 21, 2014, ameondoka nchini mara baada ya kumalizika mazungumzo hayo.

 

 

Comments are closed.