RAIS KIKWETE AMEWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA

RAIS KIKWETE AMEWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA

Like
368
0
Thursday, 12 February 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano Dokta Jakaya Mrisho Kikwete, amewaapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha.

Katika hafla hiyo iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es salaam, Rais Kikwete amemwapisha Bwana John Haule kuwa balozi mpya wa Tanzania Nchini Kenya na Dokta Hamisi Mwinyimvua ambaye ameapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha.

JK2 JK3 JKKKK

 

Comments are closed.