RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE UJENZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE UJENZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA

Like
590
0
Monday, 31 August 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo asubuhi, ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa  eneo la Makongo Juu, Kambi ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam.

Akizungumza katika Ujenzi huo wa Makao Makuu ya Ulinzi ambao dhana yake ni ya siku nyingi utagharimu kiasi cha dola za Marekani milioni 55 na utachukua miaka miwili kukamilika, Rais Kikwete amesema kuwa amefurahi kuona ndoto ya miaka mingi ya kuwepo kwa makao makuu ya ulinzi wa taifa sasa imetimia.

JK3

JK2

JK

Comments are closed.