RAIS KIKWETE AZINDUA MTAMBO WA KUFUA UMEME KINYEREZI ONE

RAIS KIKWETE AZINDUA MTAMBO WA KUFUA UMEME KINYEREZI ONE

Like
385
0
Tuesday, 13 October 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo amezindua mtambo wa kufua Umeme uliopo Kinyerezi one Jijini Dar es salaam wenye uwezo wa Megawati 150.

Katika uzinduzi huo Rais Kikwete amesema kuwa uzinduzi huo ni mojawapo ya mikakati ya kufikia lengo la mpango wa maendeleo wa miaka mitano unaoishia mwakani wa kufikisha megawati 2780 ambapo hadi sasa zipo megawati 1490 na kubakia megawati 1390.

Mbali na hayo amesema kuwa Tanzania inaanza mpango mpya mwakani wa kuifanya nchi kuwa ya viwanda ili kuongeza nafasi za kuliletea Taifa maendeleo ya kutosha.

JKK3

JKK2

Comments are closed.