RAIS KIKWETE KUZINDUA RASMI BENKI YA KWANZA YA MAENDELEO YA KILIMO

RAIS KIKWETE KUZINDUA RASMI BENKI YA KWANZA YA MAENDELEO YA KILIMO

Like
264
0
Friday, 07 August 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Jakaya Mrisho Kikwete leo anazindua rasmi benki ya kwanza ya Maendeleo ya Kilimo ambayo inalenga kuanzisha mtazamo mpya wa kukiendeleza kilimo kupitia kushirikisha wadau mbalimbali kwa kuangalia kila mnyororo wa thamani kwa ukamilifu wake pamoja na kuwa na ubunifu katika kuchangia fedha kwenye miradi mbalimbali ya sekta ya Kilimo.

Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika kwa awamu mbili ambapo kwa awamu ya kwanza atazindua Makao Makuu ya Benki hiyo leo Jijini Dar es salaam na kwa awamu ya pili atazindua rasmi kesho tarehe 8 katika kilele cha nanenane Mkoani Lindi.

3

Baadhi ya wanahabari wakiwa kwenye mkutano

Comments are closed.