RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA WIZARA YA FEDHA

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA WIZARA YA FEDHA

Like
309
0
Friday, 06 November 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha.

 

Akiwa Wizarani hapo, Rais Magufuli amekagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa  ofisi hizo.

 

Rais amefanya ziara hiyo muda  mfupi baada ya kumuapisha Mwanasheria Mkuu George Mcheche Masaju. Hata hivyo ziara hiyo ya ghafla ya rais ilikuta baadhi ya maofisa wakiwa nje ya ofisi zao.

RAIS2

RAIS

Comments are closed.