RAIS MAGUFULI AHUTUBIA BUNGE KWA MARA YA KWANZA

RAIS MAGUFULI AHUTUBIA BUNGE KWA MARA YA KWANZA

Like
460
0
Friday, 20 November 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa dokta John Pombe Magufuli amelihutubia Bunge la Tanzania ikiwa ni mara ya kwanza kulihutubia na kulifungua rasmi Tangu aingie Madarakani.

Katika hotuba yake Rais Magufuli ameeleza mikakati yake na vipaumbele vyake vitakavyowaletea maendeleo wananchi pamoja na Taifa kwa ujumla na mwelekeo wa kiuchumi.

Kabla ya kulihutubia Bunge Rais Magufuli leo asubuhi amemwapisha rasmi Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa.

Comments are closed.