RAIS MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

Like
206
0
Friday, 20 November 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa dokta John Pombe Magufuli amemuapisha Waziri Mkuu Mteule wa Serikali ya awamu ya Tano Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa Ikulu Ndogo iliyopo Chamwino Mkoani Dodoma ambapo baadaye pia atalihutubia Bunge la Tanzania.

Viongozi mbalimbali wameshirki katika Zoezi la kumuapisha Waziri Mkuu Mteule akiwemo makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hata hivyo Watanzania wengi wanatarajia kusikia mikakati ya Mheshimiwa Rais dokta Magufuli atakayoitekeleza ikiwemo aliyowaahidi wakati wa Kampeni zake za kuwania nafasi ya Urais zilizofanyika kabla ya Uchaguzi.

                                  

Comments are closed.