Rais Magufuli anavyowaapisha Watu 13 wakiwemo Majaji 10

Rais Magufuli anavyowaapisha Watu 13 wakiwemo Majaji 10

Like
617
0
Friday, 20 April 2018
Local News


Muda huu kupitia TV E unaweza kutazama matangazo ya moja kwa moja ya tukio la kuapishwa kwa Majaji 10, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka pamoja na Naibu Wakili wa Serikali walioteuliwa na Rais Magufuli hivi karibuni. Tazama kwa kubonyeza PLAY kwenye video ya hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *