RAIS MAGUFULI  ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

Like
248
0
Thursday, 10 December 2015
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dokta John Pombe Magufuli leo ametangaza rasmi Baraza la Mawaziri lenye Wizara 18 ambazo zitakuwa na Jumla ya Mawaziri 19.

Baraza hilo limeonekana kuwa na mabadiliko makubwa ya Wizara na sura Mpya nyingi za Mawaziri ambao wataanza kulitumikia Taifa kwa miaka mitano.

Akitangaza Baraza hilo mheshimiwa Magufuli amesema kwamba lengo kubwa la kuteua baraza dogo la Mawaziri ni kuhakikisha kuna kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha.

Comments are closed.