RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAAFISA TAWALA WAPYA 10 LEO

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAAFISA TAWALA WAPYA 10 LEO

Like
318
0
Wednesday, 27 April 2016
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli,  amewaapisha Maafisa Tawala wapya kumi aliowateua April 25, mwaka huu na kuwapangia vituo vyao vya kazi.

Makatibu Tawala hao wapya, wameapishwa leo Ikulu jijini Dar es salaam na kuweka saini ya ahadi ya uadilifu kwa Viongozi wa Umma, Zoezi lililoendeshwa na kamishna wa maadili Sekretarieti ya maadili ya Viongozi wa Umma, Mheshimiwa Jaji Salome Kaganda mbele ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Comments are closed.