RAIS MPYA SRI LANKA KUAPISHWA LEO

RAIS MPYA SRI LANKA KUAPISHWA LEO

Like
231
0
Friday, 09 January 2015
Global News

RAIS MPYA wa Sri Lanka MAITHRIPALA SIRISENA anatarajiwa kuapishwa baadaye hii leo.

Hatua hiyo inakuja baada ya Rais anayemaliza muda wake, MAHINDA RAJAPAKSA kukubali kushindwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika January 08 mwaka huu.

Comments are closed.