RAIS WA BANK YA DUNIA ATOA TAHADHARI JUU YA MAPAMBANO YA EBOLA AFRIKA MAGHARIBI

RAIS WA BANK YA DUNIA ATOA TAHADHARI JUU YA MAPAMBANO YA EBOLA AFRIKA MAGHARIBI

Like
254
0
Wednesday, 28 January 2015
Global News

RAIS wa Benki ya Dunia Jim Yong Kim ametaadharisha kuwa ni hatari kwa kuwa dunia haijajiandaa kupambana na ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi.

Akiongea mjini Washington, Kim, amesema ni muhimu kwa Serikali, mashirika, Mashirika ya misaada na makampuni ya Bima kufanya kazi pamoja kujiandaa kukabiliana na maradhi hayo siku za usoni.

Zaidi ya Watu 8,500 wamepoteza maisha hasa nchini sierra leone, Guinea na Liberia. Kim amesema Ebola imekuwa tishio ikizingatiwa idadi ya Watu waliopoteza maisha na kuathiri uchumi katika nchi husika.

JONG2

Comments are closed.