RAIS WA BURKINA FASO AREJEA MADARAKANI

RAIS WA BURKINA FASO AREJEA MADARAKANI

Like
331
0
Wednesday, 23 September 2015
Global News

RAIS wa serikali ya mpito ya Burkina Faso aliyekuwa amepinduliwa wiki iliyopita na wanajeshi waasi, Michel Kafando, amesema kwamba sasa amerejea rasmi madarakani.

Kauli hiyo ya Kafando inakuja masaa machache baada ya wanajeshi waliofanya mapinduzi hao na wale wanaoitii serikali kusaini makubaliano ya kujiepusha na ghasia katika mji mkuu Ougadoogou.

Comments are closed.