RAIS WA KENYA UHURU KENYATA ANATARAJIWA KULIHUTUBIA TAIFA LEO

RAIS WA KENYA UHURU KENYATA ANATARAJIWA KULIHUTUBIA TAIFA LEO

Like
237
0
Thursday, 02 April 2015
Global News

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta anatarajiwa kulihutubia taifa kufuatia shambulizi lililotokea katika chuo kikuu cha Garrisa mapema leo.

Wapiganaji wamedaiwa kuwateka nyara wanafunzi na kuwaua watu 14 katika chuo hicho kulingana na wafanyikazi wa msaada na maafisa wa polisi.

Takriban watu 65 wengine wamejeruhiwa baada ya washambuliaji kuvamia chuo hicho. Hata hivyo Vituo vya habari nchini kenya idadi ya watu waliouawa imefikia 16.

Comments are closed.