RAIS WA MISRI AYATAKA MAJESHI YA MUUNGANO WA JUMUIYA YA KIARABU KUSHIRIKI VITA DHIDI YA UGAIDI

RAIS WA MISRI AYATAKA MAJESHI YA MUUNGANO WA JUMUIYA YA KIARABU KUSHIRIKI VITA DHIDI YA UGAIDI

Like
209
0
Monday, 23 February 2015
Global News

RAIS wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amesema kuna haja majeshi ya muungano wa jumuiya ya kiarabu ya Pan-Arab kutoa majeshi yao ili kukabiliana na ugaidi.

Amesema kuwa mataifa kadhaa yametoa majeshi yao kukabiliana na kundi la wapiganaji wa Kiislam wa Islamic State tangu kuuawa kwa Wakristu huko nchini Libya.

Mpaka sasa, Mataifa yaliyotoa misaada ya kifedha na kijeshi ni Jordan,Falme za Kiarabu na Marekani kwa lengo la kuangamiza kundi hilo Syria na Iraq.

 

Comments are closed.