RAIS WA SHILIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI AMELAANI SHAMBULIO LA KIGAIDI LA PARIS

RAIS WA SHILIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI AMELAANI SHAMBULIO LA KIGAIDI LA PARIS

Like
236
0
Friday, 09 January 2015
Local News

RAIS WA SHIRIKISHO la Jamhuri ya Ujerumani JOACHIM GAUCK amelaani shambulio la kigaidi la Paris na kulitaja kuwa ni shambulio dhidi ya uhuru.

Rais GAUCK amesema Demokrasia imezidi kupata nguvu kuushinda ugaidi kabla ya mapokezi ya mwaka mpya ya mabalozi wa nchi za nje katika kasri lake mjini Berlin.

Rais JOACHIM GAUCK ameendelea kusema kuwa hawataachia chuki ziwatenganishe.

Comments are closed.