RAIS WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI AELEZA UTAYARI WA SERIKALI YAKE KUSHIRKIANA NA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINAADAM

RAIS WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI AELEZA UTAYARI WA SERIKALI YAKE KUSHIRKIANA NA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINAADAM

Like
203
0
Friday, 06 February 2015
Local News

RAIS wa Shirikisho la Ujerumani Joachim Gauck amesema Serikali yake iko tayari kushirikiana na Mahakama ya Afrika ya haki za binaadamu katika utendaji kazi wake ili kusaidia kutoa huduma iliyokusudiwa kwa walengwa.

Ameyasema hayo alipotembelea Mahakama hiyo iliyopo mjini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake nchini na kusema kuwa angependa kuona utawala wa sheria ambao unaozingatia Demokrasia unafuatwa na kuheshimiwa.

Aidha, Rais GAUCK ameipongeza mahakama hiyo kwa weledi wake na hatua nzuri waliyofikia huku akitolea mfano kesi iliyosikilizwa mwaka 2014 huko Adis Ababa, Sudan.

 

Comments are closed.