RAIS WA TUNISIA ATANGAZA VITA DHIDI YA UGAIDI

RAIS WA TUNISIA ATANGAZA VITA DHIDI YA UGAIDI

Like
322
0
Thursday, 19 March 2015
Global News

RAIS wa Tunisia, Beji Caib Essebsi, amesema nchi yake imo vitani na ugaidi baada ya wanaume waliojihami kwa bunduki kuwaua watalii wa kigeni wapatao 17 na raia wawili katika shambulio lililotokea kwenye makazi mjini Tunis.

Kiongozi huyo amesema nchi yake itakabiliana vikali na alichokitaja kama makundi madogo ya kishetani.

Washambuliaji hao waliwapiga risasi wageni kutoka Japan, Colombia, Australia, Italia na Uhispania kabla ya kuuawa na maafisa wa usalama.

Comments are closed.