RATIBA YA MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU TANZANIA BARA

RATIBA YA MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU TANZANIA BARA

Like
354
0
Wednesday, 19 August 2015
Slider

Ligi kuu Tanzania bara kuanza kutimua vumbi tarehe 12 mwezi wa 9.

Mechi za ufunguzi zitakuwa kama ifuatavyo

Jumamosi. Ndanda vs mgambo – Nangwanda Cjaona

African sports vs simba – mkwakwani Tanga.

Maji maji vs jkt ruvu – Songea

Azam vs Tanzania prisons – Azam Comlex

Stand utd vs mtibwa – Kambarage Kagera

Toto afrika vs Mwadui – Kirumba Mwanza

Jpili. Yanga vs coast unioni – Taifa

Comments are closed.